Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wabena OG toka Kijiji Cha muhaji njombe..Kama hujaolewa nikupe huyu bwanamdgo mwenye hizi sheli akuoe he is 29 yrs joking
Haha nimefadhaika sana kusikia ni watu wa Njombe, maana sijawahi mkubali mtu yeyote yule ambaye kabila lake ni la kutokea Njombe, nilijua ni Wasukuma! By the way hiko kijiji kipo wilaya gani Wanging'ombe au?
 
Ooh ni kati ya majina ya ukoo ninayoyapendaga sana halafu nilijuaga ni wasukuma! Ni wabena, wapangwa, wakinga au?
Labda umechanganya na "Mabina". Mabina kwa Kisukuma ni mtoto wa kiume aliyezaliwa wakati wa majira ya michezo ya kienyeji (mbina) ya Bagika na Bagalū. Kama ni wa kike anaweza kuitwa Būyegi (Furaha/Faraja)...
 
Haha nimefadhaika sana kusikia ni watu wa Njombe, maana sijawahi mkubali mtu yeyote yule ambaye kabila lake ni la kutokea Njombe, nilijua ni Wasukuma! By the way hiko kijiji kipo wilaya gani Wanging'ombe au?
Wilaya ya wangingombe kilomita chache toka makambako kwanini huwakubali aisee walikufanya nini ila ni wapambanaji kutafuta hela hawana show off ila akaunt zimeshiba
 
FB_IMG_1645357963730.jpg
 
Labda umechanganya na "Mabina". Mabina kwa Kisukuma ni mtoto wa kiume aliyezaliwa wakati wa majira ya michezo ya kienyeji (mbina) ya Bagika na Bagalū. Kama ni wa kike anaweza kuitwa Būyegi (Furaha/Faraja)...
Haha wasukuma mnapenda sana majina yanayoanzia na "Ma" mfano Mabeyo, Mabula, Mabele, Masese, Masanja, Maranja nk (wote wenye majina hayo nimesoma nao na wengine walikuwa ni waalimu wangu)! Kuna siku niliona comment yako ulisema Busisi maana yake Ukwaju nikakuambia Mwanza kuna sehemu inaitwa Busisi nalipendaga sana hilo jina ila sikujua kama maana yake ni Ukwaju (Mwanza kuna maeneo mengi yanaanzia na "Bu" mfano Busisi, Buhongwa, Buzuruga, Bugarika, Buswelu, Bugando nk)!
 
Busisi ni ikwaju halafu busisi tena ni sisimizi
 
Wilaya ya wangingombe kilomita chache toka makambako kwanini huwakubali aisee walikufanya nini ila ni wapambanaji kutafuta hela hawana show off ila akaunt zimeshiba
Haha najua ni wapambanaji ila nahisi njia zao za upambanaji (wengi wao siyo wote) ndiyo zinanifanya nisiwakubali iykyk! Hata kule kwetu Mbeya hasa Mbeya mjini matajiri wengi ni wakinga ila wengi wao tunajua njia wanazozitumia kupata utajiri wao (sisi wengine siyo waumini wa "the end justifies the means")!
 
Ni kweli mkuu wengi janja janja nyingi
 
Back
Top Bottom