CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,087
- 23,869
Na umlipe Piece 1 kwa kukusaidia hii elimu
na wakati huo ukiendelea andaa order yangu
Na umlipe Piece 1 kwa kukusaidia hii elimu
Ole wako uje uanze lalamika siku hizi mchele kilo wanapunjaMimi nazishukuru tu maana nilikuwa mvivu kula
Dhuuuu aiseeeeNi kama mbuzi na mtu aliye mpumbavu.
Mbuzi kwa Kisukuma ni ‘mbuli’.
Mpumbavu kwa Kisukuma ni ‘mbuuli’.
Kumenteini figa napo mateso tu kwa kweli. Kamwe sitawalaumu, kuwanyanyapaa wala kuwasimanga wanawake wenye vitambi. Kumenteini figa inataka will power na nidhamu ya hali ya juu. Ona tu portions anazokulaga Lizzy yaani. Utafikiri chakula cha junia ambaye ndo kwanza kaachishwa ziwa. Hongereni sana kwa kweliWee hiki kingi nashiba





100%😉Kweli kabisa!..tupia picha nyingine ya mkono nienjoy
😂😂😂😂😂Ole wako uje uanze lalamika siku hizi mchele kilo wanapunja
usha amua kununua mchele kilo,kupunjwa kunatokea wapi sasa?
nunua kilo 50 kama utapunjwa... malalamiko sampuli hiyo nisiyaskie kwako
Chips za kuonja😂View attachment 2125128
Late Lunch
Mipanaa,maganja mapana🤣..angalau nimepumzika shamba sugu zimepunguaKweli kabisa!..tupia picha nyingine ya mkono nienjoy
Kumenteini figa napo mateso tu kwa kweli. Kamwe sitawalaumu, kuwanyanyapaa wala kuwasimanga wanawake wenye vitambi. Kumenteini figa inataka will power na nidhamu ya hali ya juu. Ona tu portions anazokulaga Lizzy yaani. Utafikiri chakula cha junia ambaye ndo kwanza kaachishwa ziwa. Hongereni sana kwa kweli
Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...
Nawasalimu CAG naona hili hajaliona yaani sijui kuna shida gani..Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini. Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously.. Aya kama haotoshi...www.jamiiforums.com
Aisee

hebu muulize tulimkosea nini😁salamu zimefikaMsalimie sana mwambie nimeisave ile picha.
Nimecheka mno🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌Haha nimefadhaika sana kusikia ni watu wa Njombe, maana sijawahi mkubali mtu yeyote yule ambaye kabila lake ni la kutokea Njombe, nilijua ni Wasukuma! By the way hiko kijiji kipo wilaya gani Wanging'ombe au?
Hahaa usimsikilize huyo jamani! Halafu juzi nilikuona maeneo ya ukonga!Aiseehebu muulize tulimkosea nini
Duh!
You must be like a miss
Chips za kuonja![]()
