Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,576
Mtakatifu Saint Anne unajua value chain ya bia inavyofaidisha mamilioni. Sio upuuzi. Btw beers ni refreshing agent kama ilivyo kahawa, soda n.k ni Kwamba tu imekushindaYaani chupa za bia zinatengenezwa vizuri na kwa kupendeza mno,,zimenakshiwa kana kwamba kilichopo ndani kinaeleweka ,kumbe ni upuuzi tu humo ndani.