Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeupiga mwingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu taja sifa zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Halafu wanaume ni walevi hao,vifupi nyundo na uchawi kwa mbaalii
Wana ka ushamba flani,walevi afu siyo wajanja kama wale wenzao walevi wa kaskazini.



Ila ni wachapakazi
Hapo kwenye uchawi hapooo! Wala siyo "kwa mbali" bali sanaaa!
 
karibuni chai
IMG_20220221_092920.jpg
 
Apigane wapi? Mikwara tu ya keyboard hiyo
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png


Ila walimuweza kweli; na ameapa hatakaa akanyage tena maeneo hayo.

Halafu sijui kapotelea wapi. Isije ikawa kweli alirudi kupigana yakawa mengine ohoo!
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
Nikimfikiria alivyo,nikilinganisha na kauli zake za kupigana basi nacheeka nataka kuzimia.
Hakawezi kupigana.
 
Back
Top Bottom