Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Na mimi sio mnyakiYawezekana mimi siyo mndali![]()
Na mimi sio mnyakiYawezekana mimi siyo mndali![]()
Kwahyo babu wataka niambia kuwa sisi wakina masalago tusiojua kisukuma ni hovwessNi hawa wa kishua waliokulia mijini. Hovyo tu. Binti yangu kakulia nje lakini nimepambana kuhakikisha kuwa anakifahamu Kisukuma vizuri kuliko hata Kiswahili. Na hapa tunapoongea anakamilisha kitabu cha watoto kwa Kiingereza kuhusu hadithi za mashing'weng'we. Na zote alisimuliwa na bibi yake tena kwa Kisukuma kile cha ndani kabisa.
Ni aibu sana kwa Msukuma kwa kutofahamu Kisukuma![]()

Mimi ni mpenda picha!Wewe ni mod au?
nimekufananisha n gregory cornelius,jamaa yangu fulani kwao wana german shepherd


inawezekana akawa yeyeAcha nikumbushie enzi za makissMipanaa,maganja mapana..angalau nimepumzika shamba sugu zimepungua
Mikono ya watu wa mbeya bwana,inachekesha
View attachment 2125341
View attachment 2125342



Kina Wige wavimba macho tu
Baba Mtumishi anashikilia jimbo lake, na hana mpinzani
Em niwacheeeSijui utaambia nini watu nikikwambia mambo hayapo hivyo
We endelea na pambio zakoEm niwacheee
Tumevamia makabila🤣Na mimi sio mnyaki
🤩😘😘😘Acha nikumbushie enzi za makiss![]()
Hii tayari nimeisave.Please naomba nyingine.😂
Mwee🤣Kamanda Pep tangu apigwe na kitu kizito siku ile akina Wigelekelo wakawa wanamcheka naona kapotea jumla. Watu wafuatilie kama yuko salama huko aliko![]()
🤣🤣🤣Hii tayari nimeisave.Please naomba nyingine.😂View attachment 2125416
Mfaransa anaweza kujiita Mfaransa kama hajui Kifaransa? Mjerumani je? Mswidi? Mjapan? Mnyaki? Msukuma?Kwahyo babu wataka niambia kuwa sisi wakina masalago tusiojua kisukuma ni hovwess
Sent using Jamii Forums mobile app



Huu ni unyanyapaaji sasa kisa nimekiri sikijui.Nyie wenyewe kiswahili mnaandika kibovu😂Mfaransa anaweza kujiita Mfaransa kama hajui Kifaransa? Mjerumani je? Mswidi? Mjapan? Mnyaki? Msukuma?![]()
Mkuu naona umedandia treni kwa mbele. Mimi nilikuwa najaribu kumchokoza/kumfikirisha Gregory 2000 hapo juuHuu ni unyanyapaaji sasa kisa nimekiri sikijui.Nyie wenyewe kiswahili mnaandika kibovu![]()




Sawa.Mkuu naona umedandia treni kwa mbele. Mimi nilikuwa namchokoza Gregory hapo juu
By the way. Kiswahili siyo lugha yetu ya mama hivyo hata tukikiboronga ni sawa. Kamwe usimcheke mtu kwa kuboronga lugha ambayo siyo yake. Unachopaswa kufanya ni kumwelewesha tu tena kwa upole na heshima![]()
Acha ukorofiMkuu usifananishe soda na vitu vya ajabu.
Halafu mimi nimeongelea upande wa taste tu,na siyo chain value yake

