reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,304
Kumbe Shem wapo wasukuma hawajui kisukuma eehh!Kama unajua lugha nyingine ya Kibantu ni rahisi sana maana maneno mengi ni yale yale tu. Labda kama ni wa kishua umezaliwa na kukulia mijini![]()
Kumbe Shem wapo wasukuma hawajui kisukuma eehh!Kama unajua lugha nyingine ya Kibantu ni rahisi sana maana maneno mengi ni yale yale tu. Labda kama ni wa kishua umezaliwa na kukulia mijini![]()
Hvyo vichips waviona vidogo lakini vinashibishaaaUnashiba hapo Simara??
MweeMbona Viganja vizuri tu Mama
MweeMbona Viganja vizuri tu Mama
Nkamu Nkamu hujui tu mateso tunayopitia na hivi vitambi![]()
Kumenteini figa napo mateso tu kwa kweli. Kamwe sitawalaumu, kuwanyanyapaa wala kuwasimanga wanawake wenye vitambi. Kumenteini figa inataka will power na nidhamu ya hali ya juu. Ona tu portions anazokulaga Lizzy yaani. Utafikiri chakula cha junia ambaye ndo kwanza kaachishwa ziwa. Hongereni sana kwa kweli
Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...
Nawasalimu CAG naona hili hajaliona yaani sijui kuna shida gani..Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini. Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously.. Aya kama haotoshi...www.jamiiforums.com




nilijaribu last year yaani wanangu wakawa wananisemanga ikabid nianze kunenepa;Nitakupa na yangu umpeSanaaaaa
Ile picha yangu ulimfikishia kweli?![]()
Epuka matapeli. Hakuna Mnyaki/Mndali asiye na shepu ya kufa mtu














IleteHebu mtafute umpe
Nitakupa na yangu umpe
DaahEpuka matapeli. Hakuna Mnyaki/Mndali asiye na shepu ya kufa mtu![]()
Shem jamani. Why? How? When? Who? Which? Whom? Ulivyo kipotabo hivyo cheupe kimodo pisi kali ujikondeshe tena zaidi ya hapo ili iweje? Ni huyo mla senene za Italy ndiyo anakupa presha? Ashindweeeeeeeenilijaribu last year yaani wanangu wakawa wananisemanga ikabid nianze kunenepa;
Yaani yataka moyo sana!but nilifika 64kgs kutoka 74!






Kamanda Pep tangu apigwe na kitu kizito siku ile akina Wigelekelo wakawa wanamcheka naona kapotea jumla. Watu wafuatilie kama yuko salama huko alikoHongera sana mama Pep



Kina Wige wavimba macho tuKamanda Pep tangu apigwe na kitu kizito siku ile akina @wigeleko wakawa wanamcheka naona kapotea jumla. Watu wafuatilie kama yuko salama huko aliko![]()
🤣🤣Ilete
Ni hawa wa kishua waliokulia mijini. Hovyo tuKumbe Shem wapo wasukuma hawajui kisukuma eehh!


. Binti yangu kakulia nje lakini nimepambana kuhakikisha kuwa anakifahamu Kisukuma vizuri kuliko hata Kiswahili. Na hapa tunapoongea anakamilisha kitabu cha watoto kwa Kiingereza kuhusu hadithi za mashing'weng'we. Na zote alisimuliwa na bibi yake tena kwa Kisukuma kile cha ndani kabisa.





Kwamba hujui hilo au?
Kwamba unampenda sana?
Wewe ni mod au?Heaven Sent usipoweka picha yako nakupiga ban!![]()
Yawezekana mimi siyo mndali🤣Epuka matapeli. Hakuna Mnyaki/Mndali asiye na shepu ya kufa mtu![]()