Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mara wamempiga hela
Mara alitaka kuzirusha ngumi
Yaani nilicheka sana.
Japo anazo nyingi tu ila alizopigwa siku ile na barmaids zilimuuma sana mpaka nikamhurumia yaani. Safari nyingine sidhani kama atakubali tena kuegemewa na kushikwa shikwa na barmaids aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Japo anazo nyingi tu ila zile hela za siku ile alizopigwa na barmaids zilimuuma sana mpaka nikamhurumia yaani. Safari nyingine sidhani kama atakubali tena kuegemewa na kushikwa shikwa na barmaids aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe aliegemewa😀
Alizingua sana.


Ila nilicheka sana aliposema anataka kupigana🤣
 
Kumbe aliegemewa[emoji3]
Alizingua sana.


Ila nilicheka sana aliposema anataka kupigana[emoji1787]
Apigane wapi? Mikwara tu ya keyboard hiyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ila walimuweza kweli; na ameapa hatakaa akanyage tena maeneo hayo.

Halafu sijui kapotelea wapi. Isije ikawa kweli alirudi kupigana yakawa mengine ohoo! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Screenshot_20220220-215014.jpg
 
Back
Top Bottom