T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,079
Hapana kitambi sijakiona ila hata kikiwepo/barikiwa kuwa nacho ni ugonjwa wangu pia hasa kikiwa kitambi chenye kucheza cheza/tingishikaKubarikiwa kitambi sio!!!!???

Hapana kitambi sijakiona ila hata kikiwepo/barikiwa kuwa nacho ni ugonjwa wangu pia hasa kikiwa kitambi chenye kucheza cheza/tingishikaKubarikiwa kitambi sio!!!!???

Hapana kitambi sijakiona ila hata kikiwepo/barikiwa kuwa nacho ni ugonjwa wangu pia hasa kikiwa kitambi chenye kucheza cheza/tingishika![]()
Asante mkuu! Enjoy it
Hamna elimu pale janja janja tu ukifika vyuo vinavoeleweka hutoboidoohhh!why?!!

😋😋😋Sunday tulivu, karibuni sana TZS 5000@ nafanya delivery popote ndani ya Dar. Ila utachangia cost kidogo
View attachment 2124856
Ndiyo hizo selfies za senene mkuu😂😂😋😋😋
Usisahau kuselfika basi mkuu
Mwenye taasisi zake nyeti
Senene tumeziona Nkamu, na lazime tuchangieNdiyo hizo selfies za senene mkuu😂😂
Sunday tulivu, karibuni sana TZS 5000@ nafanya delivery popote ndani ya Dar. Ila utachangia cost kidogo
View attachment 2124856
Na muuzaji tunatamani tumuone ili na wewe tumchangieSenene tumeziona Nkamu, na lazime tuchangie
Ila na muuzaji tunatamani tumuoneee
Kama uta ahidi kuniletea wewe binafsi na kuahidi kunilisha MtejaSunday tulivu, karibuni sana TZS 5000@ nafanya delivery popote ndani ya Dar. Ila utachangia cost kidogo
View attachment 2124856
Mkoani hutumi?Sunday tulivu, karibuni sana TZS 5000@ nafanya delivery popote ndani ya Dar. Ila utachangia cost kidogo
View attachment 2124856
Anaitaka??Kabisa yaani Saint Anne athibitishe kama unahitaji lemon tea ama la.!
Inabidi uwe umekula kwanza then unaenda kuonja hicho chake😅yani mimi vyakula vya Lizzy sishibi,wewe hulagi ni unaonjaga
Karibu sana mkuu, ni watamu mnoo, na nimewaandaa vizuri hautojutiaSenene? Hawa watamu sana