Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Sawa dadaMipanaa,maganja mapana[emoji1787]..angalau nimepumzika shamba sugu zimepungua
Mikono ya watu wa mbeya bwana,inachekesha
View attachment 2125341
View attachment 2125342
Sawa dadaMipanaa,maganja mapana[emoji1787]..angalau nimepumzika shamba sugu zimepungua
Mikono ya watu wa mbeya bwana,inachekesha
View attachment 2125341
View attachment 2125342
Natamani ningempata mtu anipunguzie kitambi kidogoNi mateso mnoo kwa kweli.
Mkuu wasimange aisee vitambi vinachukiza mnoo vinaharibu sana maumbo ya wanawake!!
ukiwasimanga wanapata angalau jitihada za kukipunguza
Napenda sana Nidhamu ya Lizzy kwenye kupakua kidogo hawezi nenepa hata maana anakula portion ndogo.
Usinicheke tu kamwili hakaendani na miganja yangu😂Nkamu wee[emoji7]
Njoo ukichukueNatamani ningempata mtu anipunguzie kitambi kidogo
Huu mwezi nimevamia rangi🤣🤣Sawa dada
Aahh dogo naona umekuja kupigilia na msumari kabisa! Watu wengi wa njombe nilioishi nao sina experience nzuri nao though najua siyo wote wako na shida ila ninaowafahamu dah![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani
Nimecheka mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Akiyanani!
MweeNjoo ukichukue
Hongera sana mama PepHuu mwezi nimevamia rangi[emoji1787][emoji1787]
Nimejikuta nimefuga kucha,na zinakua fasta bila kukatika.
Umeamua kunikejeli?Mwee
Ulisikia wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa wewe kitambi cha kunipa unakitoa wapi?
Au mimi ndiye nikupe!
Hebu taja sifa zao🤣🤣🤣Aahh dogo naona umekuja kupigilia na msumari kabisa! Watu wengi wa njombe nilioishi nao sina experience nzuri nao though najua siyo wote wako na shida ila ninaowafahamu dah!
Naona umem miss,,,msalimie sana aisee😁Hongera sana mama Pep
Umeamua kunikejeli?
Mweeh mweeeh mweehUmeupiga mwingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu taja sifa zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu ni walevi hao,vifupi nyundo na uchawi kwa mbaalii
Wana ka ushamba flani,walevi afu siyo wajanja kama wale wenzao walevi wa kaskazini.
Ila ni wachapakazi
Kwamba hawalioni tumbo lako kwenye picha?Yaani halafu watu wakisoma wanaweza dhani kweli nakukejeli![emoji1787]
SanaaaaaHilo jina ulirudishe ulikolitoa[emoji1787]
Naona umem miss,,,msalimie sana aisee[emoji16]
Natamani ningempata mtu anipunguzie kitambi kidogo
Usinicheke tu kamwili hakaendani na miganja yangu[emoji23]
Njoo ukichukue
Nkamu mbona unataka nijipost watu wacheke jamani hapaNkamu umeanza utani ehee
Samaki na huo ugali wee!