GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,673
- 17,991
Aiseeeee.,.
Aiseeeee.,.
Mwe gari ya ofisi hiyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji51][emoji16] mtu anatembea V8 aanze kula nauli ya mtu wa paso utakuwa uhainu huo
Doh naona unanisagia kunguni leo [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani alikuambia Hata angetembelea V8 hela ya mtu wa Passo hataki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole SanaUwiii !!!
View attachment 2072135
Kumbe mziki wa Covid sio wa kitoto aisee. Juzi usiku nilifikiri this is it. I am done on this planet lakini Mungu si Athumani aisee jua likachomoza salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ulikuwa ni mwendo wa ku-monitor presha, kiwango cha Oksijeni na joto la mwili - indicators 3 za muhimu sana kwa mgonjwa wa Covid.
View attachment 2072137
Mwili bado haujakaa sawa 100% ila ni mwendo wa malimau na tangawizi kwa sana. Nimeweza hata kwenda jogging leo. Mungu ni mwema aisee...Maisha...Uhai!
View attachment 2072141
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]I miss you..Doh naona unanisagia kunguni leo [emoji1787][emoji1787]
Thank you madam kwa kupita kijiweniMjep thank you vere machi for ze likes. Nilipita kijiweni kwako nikakukumbuka. Welcome back
I miss you more dear [emoji847][emoji847][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]I miss you..
Huyo Jamaa ameonekanika?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]I miss you more dear [emoji847][emoji847]
Aonekanike wapi tena [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko ntapita mwez March.Njoo unga tela..twenzetu kwene baridi kidogo
Upo kimyaAbee
Depal kama DepalChukua miguu yako Valentina View attachment 2072621
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu mie, yaan nisijue embe spunda? Maji? Bolibo? Dodo? Ng'ong'o? Sindano?Watoto mmekulia mjini haya mmejulia wapi au unaniokota shosteee [emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23] mno.Ya hivi ndo mazuri sasa[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee.I meant now just home! Pia Yeah sipendi mimi ukiniwekea kifurushi chenye muvi zakutosha nikabidhi rimoti tu umemaliza..wewe nenda toka out hangout sijui nenda club huko ukirudi wanikuta na muvi zangu!! Sio mtu wa out kabisa!
Km kawaida ktk hostel za chuo fulaani. [emoji23][emoji23][emoji23]Morogoro [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 2072090View attachment 2072092
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan bila kuficha kidg huwez.
Poleeeh sana.Uwiii !!!
View attachment 2072135
Kumbe mziki wa Covid sio wa kitoto aisee. Juzi usiku nilifikiri this is it. I am done on this planet lakini Mungu si Athumani aisee jua likachomoza salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ulikuwa ni mwendo wa ku-monitor presha, kiwango cha Oksijeni na joto la mwili - indicators 3 za muhimu sana kwa mgonjwa wa Covid.
View attachment 2072137
Mwili bado haujakaa sawa 100% ila ni mwendo wa malimau na tangawizi kwa sana. Nimeweza hata kwenda jogging leo. Mungu ni mwema aisee...Maisha...Uhai!
View attachment 2072141
Wacha wee ngoja na mie niwe mkubwa, niwe nazurura hivyo tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]Katikati ya nchi [emoji7]