Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaanza kuhitimisha mapema namna hii?

Subiri atokee halafu utajua mimi na Karma nani sound nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! sema dom pamewaka sana.. plus vijana waliokuja piga interview ya takukuru pamewaka kishenziii.. hapapoi wala hapaboi.. Ni shangwe nimeweka 50/50.. asipo. tokea nitajua umenichania mkeka 😂😂😂
 
Dah! sema dom pamewaka sana.. plus vijana waliokuja piga interview ya takukuru pamewaka kishenziii.. hapapoi wala hapaboi.. Ni shangwe nimeweka 50/50.. asipo. tokea nitajua umenichania mkeka [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mkeka hauwezi kuchanika..niamini..

Karma siyo mtu wa sound kabisa[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asipotokea nitajua umemfundisha sound, maana Karma hana kabisa tabia za kurusha mutu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ha ha ha ha...Kwamba ni mimi tena nimemfundisha sound jamani?

Ni kweli Karma hana hizo mambo...huyu hata kundi la wala nauli hayupo[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom