Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Sawa... umesema initwaje vilee??Safi kabisa.. utanipa mrejesho
Sawa... umesema initwaje vilee??Safi kabisa.. utanipa mrejesho
Wapi Cate hotels auLeo wengi mnaenda huko kuna nini aseee.. kuna mtu asubuhi ananiambia anaenda huko, mwingine haijapita robo saa nae kaniambia anaenda huko kunani aseee
Haaha ndiyo ratiba yake ya weekend eeh?Itakuwa amefika mtamkuta tu![]()
Eeeh! bwana.. mie sema nimeotewa na mie ningekuwa hayo mamitaaa 😁😁😁Wapi Cate hotels au
Nina safari nyingine, though wewe sikuamini aisee.Nkamu umeweka kituo au una safari nyingine? Will be there in half an hour




😊😊😊 weekend za kikubwa hizoHaaha ndiyo ratiba yake ya weekend eeh?




. Ngoja nije PM
Nina safari nyingine, though wewe sikuamini aisee.![]()
kama wewe na Makiwendo msivyo aminika kwenye appointment 😁😁😁😁Nina safari nyingine, though wewe sikuamini aisee.![]()
Mmhh hata sijui ila mie siishii Hapa naenda DodomaEeeh! bwana.. mie sema nimeotewa na mie ningekuwa hayo mamitaaa![]()


Dodoma basi utanikuta mkuu.. tule bata.. mie nipo around shopper's ☺️☺️☺️Mmhh hata sijui ila mie siishii Hapa naenda Dodoma![]()
Kha kwani lini tulipanga appointment na mtu na sikutokea


😁😁😁 Utapishana na muujiza wako siku mojaHii tabia yangu ya kutokuaminika, itaniponza jamani. Ngoja nije PM
Makiwendo alikurushia msala basi 😔😔aliniambia mnakuja, nikakaa masaa sita nasubiriKha kwani lini tulipanga appointment na mtu na sikutokea![]()
SawaDodoma basi utanikuta mkuu.. tule bata.. mie nipo around shopper's![]()


Na macho yale, nakuwekea na juice ya kungu from mashariki ya mbali huko nzuuuri hiyo 😊😊😊Sawa![]()
Nimeshaiacha 2021, nipo serious sasa hiviUtapishana na muujiza wako siku moja