Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Watoto mmekulia mjini haya mmejulia wapi au unaniokota shosteee 🙄🙄Nazijua kwetu zipo sana.
Watoto mmekulia mjini haya mmejulia wapi au unaniokota shosteee 🙄🙄Nazijua kwetu zipo sana.
Ya hivi ndo mazuri sasa[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] style nzuri hii, kwa amani kabisaaa. View attachment 2071416
Uncle, poleNimekumiss,
Hahaha .mimi sinywiiiii vya kulewa rafiki nitafutie vyangu basi!Weee njoo tuleweee
Asantee... Huyo samaki huyo dahhh!
Chapati na ugali juu dadeki...!! Shkamoo [emoji119]!
ohooo.. safiii kabisaaa.. huja tupiamo kapichaPoua! Za weekend!
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Nina ubaobalaa napika asee!ohooo.. safiii kabisaaa.. huja tupiamo kapicha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3516][emoji3516]Chapati na ugali juu dadeki...!! Shkamoo [emoji119]!
😁😁😁😁 Haaa pole kwa njaaa[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Nina ubaobalaa napika asee!
Safi.. karibu bwana.. weekend unaila peke ako homeNdio nanunua unga hapa dukani nikasonge ugali aseeh!View attachment 2072036