Akhsante kushukuruAsantee... Huyo samaki huyo dahhh!
Hiiiiiiiiiiiiii!! BhagoshaNdio nanunua unga hapa dukani nikasonge ugali aseeh!View attachment 2072036
Chakula kitamu sana hiki mkuu
Sijambo! Habari ya wewe!Akhsante kushukuru
Hujambo mkuu
Hahaha!!!Hiiiiiiiiiiiiii!! Bhagosha
Shatulywa mbiti sidatang'hanaga
Yamo kwa kweli
Vizuri sana kama hujamboSijambo! Habari ya wewe!
Yeah just home!Safi.. karibu bwana.. weekend unaila peke ako home
Ndio karibu tule mkuu!!Vizuri sana kama hujambo
Habari ya mimi njema/salama kabisa
Umeivisha ugali?
Akhsante sana nakaribia mkuuNdio karibu tule mkuu!!
Kazi yako itakua sio ya mchezo mchezo aseeh! Nahisi Inatumia nguvu sana!
Hupendi kutoka out 🙄🙄Yeah just home!
Hahah ..hakuna... Unaogopa mbwa??😂😳Akhsante sana nakaribia mkuu
Hakuna mbwa mkali getini?
All is well rafiki .Niko vizuri Mungu mwema sana! Naamini uko poa pia..
I meant now just home! Pia Yeah sipendi mimi ukiniwekea kifurushi chenye muvi zakutosha nikabidhi rimoti tu umemaliza..wewe nenda toka out hangout sijui nenda club huko ukirudi wanikuta na muvi zangu!! Sio mtu wa out kabisa!Hupendi kutoka out 🙄🙄
Nshapoa mkuu! Wee Ushapata cha mchana??😁😁😁😁 Haaa pole kwa njaaa
Safii sana.. wife material ndio mnakuwaga hivyo.. jamaa akija ana nesa tu 😁😁😁I meant now just home! Pia Yeah sipendi mimi ukiniwekea muvi zakutosha nikabidhi rimoti tu umemaliza..wewe nenda toka out hangout sijui nenda club huko ukirudi wanikuta na muvi zangu!! Sio mtu wa out kabisa!
Mie tayari mkuu nimeshiba sana hapa nimelala tu.. tuliii.. nasubiri majira flani nijiibeNshapoa mkuu! Wee Ushapata cha mchana??
Haha eti ujiibe.. kama umeshiba vizuri!! Najua weekend hii ni kubadili location tu!! Tunasubiri updates humuMie tayari mkuu nimeshiba sana hapa nimelala tu.. tuliii.. nasubiri majira flani nijiibe
Hahaha... Nampokea vizuri sana!!Safii sana.. wife material ndio mnakuwaga hivyo.. jamaa akija ana nesa tu 😁😁😁