Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,221
Huyu mwamba shabiki mwenzangu huwa ananimwagia likes kule jukwaa letu pendwa la liver.Kama huyu unambania ndio wachumba hao
Ahaaa kuna watu wanapenda wabishi...ila picha zinawachanganya kabisaNa huu ubishi kichwa ngumu hiki?![]()
Watu wazima tushaelewa...Huyu mwamba shabiki mwenzangu huwa ananimwagia likes kule jukwaa letu pendwa la liver.
Huwa namvunja mbavu sana kule.
Kwendaaa.Sio waagape bana...ule wenyewe

mwambie nikirudi akae pembeniThubutuuumwambie nikirudi akae pembeni
Hakunaaaa yani first love uwa ina nguvu sanaThubutuuu
Tunasonga mbele kama injili
Wana liver washaelewa.Watu wazima tushaelewa...
NiacheHakunaaaa yani first love uwa ina nguvu sana
..utarudi tu
Ikifika wakati nitaharibu tuNiache
Usiniharibie mambo.

Picha gani hiyo yangu ilichanganya mtu?Ahaaa kuna watu wanapenda wabishi...ila picha zinawachanganya kabisa
UshindweIkifika wakati nitaharibu tu![]()
Kiuno cha dondora acha kabisa..wengi wanadataPicha gani hiyo yangu ilichanganya mtu?
Yawezekana alikuwa ashachanganyikiwa mapema![]()

Wacha bwana😀Kiuno cha dondora acha kabisa..wengi wanadata![]()
Daah ahsante kwa kunipa starter ya kuomba. Mungu akubariki