Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,284
- 95,581
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkoani..Siti ya mbele kabisa ili nione Miti inavyorudi nyuma[emoji16]View attachment 2047139
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuna mtu anaitwa Mbughi, hawa hata wazaliwe mjini daslam wanakijuaga tuu.. huwezimshinda huyu.Ningewakimbiza wote, wewe pamoja na mkalimani wako[emoji1]
Yuko wapi?Kuna mtu anaitwa Mbughi, hawa hata wazaliwe mjini daslam wanakijuaga tuu.. huwezimshinda huyu.
Ko wee unataka story tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kukata ticket week kabla ya safari ndiyo tabia yangu labda nipate safari ya dharura na kama safari ni ya dharura huwa situmii basi. Nina allergy na seat za nyuma na nikikosa za mbele huwa natamani hata kulia maana najua safari yangu itaboa tu.
Pale mbele huwa napenda sana company ya wale makonda kwa mfano kwenye mabasi kama Sauli unakuta kuna makonda wengi wengine hadi wanakaa chini pembeni kabisa ya dereva. Basi huwa naenjoy kweli wanavyochangamsha genge na story zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Dar Lux na Rungwe yapo jamani? Enzi zile Rungwe bado inatamba, ukoo mzima wanyaki tunapanda Rungwe, ole wako ukapande bus lingine. Kuna siku karibu na Kitonga ile; sijui bus lilitaka liwake moto. Maana ilianza harufu kali ndani kama ya chemicals; ukaja moshi mzito ndani; daah kumbe nipo mwepesi vile kwenye kuruka dirishani hehehe; maisha matamu jamani mweeh.
Hahahaahamaeneo ya toroka uje.nakuja maskani kwa bango unapajua?
Miss u xaan blood cc [emoji7][emoji7]Chat na picha
Dea [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Ntakuletea siku moja mtoane jasho.Yuko wapi?
Mlete nishindane naye[emoji23]
Hao ndo wale kama mimi , wanazaliwa wanawasikia wazazi wanaongea kila siku.
Kuna mwingine anajiita @mndalindanyelakakomu [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pekupeku ndio afya[emoji3]View attachment 2047472
Miss you more mdogo wangu kipenzi😍😍Miss u xaan blood cc [emoji7][emoji7]
Nipo hewani babuuh now [emoji23][emoji23][emoji23]Umechelewa saa kumi uwe hewani nikuwish mwaya kajukuu
Mukamu ndi apa pa stand ja magufuliNtakuletea siku moja mtoane jasho.
Natoka site na hali yangu hii [emoji116][emoji116] nielekeze kwako nipitie walau nikung'ute vumbi mukamu gwanhguView attachment 2047509
Ahsante sana cc kipenzii. [emoji7][emoji7][emoji7]Hbd dogo.
Umefika twenti sasa,
Kesho tunaenda kanisani kumshukuru Mungu.
[emoji16][emoji16]Mukamu ndi apa pa stand ja magufuli
Loshi ulu ghenda tiunyaghe ingutishikishe ulufumbi mufilato[emoji1].
Mlete mlete huyo mwamba Mbughi[emoji23]
Ni mwana gwa Kwisoko nitamnyoosha sana na kile kindali advanced kabisa.
Awww [emoji3590][emoji3590][emoji7][emoji7][emoji7]Happy birthday cocastic wangu..ishi Sana mdogo wangu..Dada anakupenda.
Zawadi yako hiyo juu..@cocastic[emoji3589]