Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
[emoji7]
Hatimaye umeselfika
[emoji7]
Weka pichaNa ya leo imekupita[emoji23].
Ila selfika kumekuwa kuzuri,watu wanaselfisha vocha hadi raha.
Huwa kuna raha yake pekupeku kwenye tilesPekupeku ndio afya[emoji3]View attachment 2047472
Hapan babuuh mbna nlkua hewani mie, af leo siku yangu ya kuzaliwa, please zawadi nataka, huhuhuhUnazingua sana ujue.. Kiswaswadu ukakizima nimepiga mpaka nimekoma[emoji31]
Acha tu..na Imenipita kweli[emoji18]Na ya leo imekupita[emoji23].
Ila selfika kumekuwa kuzuri,watu wanaselfisha vocha hadi raha.
Wacha wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo natoa ofa ya lunch kwa me na ke watakao tupia selfie kali ,ofa itakua breakpoint.255 lounge. Au tanzanite park. Wana selfika kazi kwenu
Nimpe rukhsa mjukuu wangu aje akuuguze?Wakuu habari zenu, siku ya jana nimesumbuliwa na homa kali, kichwa kugonga na mafua makali, je ndio hizi homa zinazosemekana za msimu? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Hongera sana.Hapana mkuu. Nna mafunzo ya hali ya juu
Uko block 41 kwa wapi bro?? Nipo na wana kama 3 hivi broLunch time mnailia wapi? Aliyekaribu aje block 41,tule nyama choma.na bia nyingii.FURAHI DAY
[emoji7][emoji7][emoji7]
Kumekucha shem! Hivi ile namba yako ni Halotel eenh![emoji23][emoji23]
Bado Heaven Sent. Sijui mpaka tufanyeje. Imagine mpaka Mkwepu kaselfika ila Heaven Sent bado [emoji848][emoji7]
Hatimaye umeselfika
[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 2045759
Ngoja tuongeze kinga za mwili
Naijua hiyo! Siwezi kutoa barakoa, kuna Corona [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Toa barakoa tuone
cc [emoji7][emoji7][emoji7]
Walamusha??Ukiwa safarini camera inakua haifanyi kazi?
Heshima kwa wanaotukumbusha. Kuna huyu Lizzy anatukumbusha sana. Sio mbaya kupiga story ila maudhui ya uzi, sindikiza na kapicha kidogo.View attachment 2047407