cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,312
- 187,981
Tanteeeeeeeh bestie kipendhiii [emoji7][emoji3590][emoji8].Happy birthday best[emoji512][emoji7][emoji3590]
Tanteeeeeeeh bestie kipendhiii [emoji7][emoji3590][emoji8].Happy birthday best[emoji512][emoji7][emoji3590]
Ndio penyewe unapopafanishaHili eneo km nalifananisha iv. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman bas kule kwetu yapo mengi kwenye ile miti ambayo inakua na utovu fulan wekundu, bas yanatanda mti mzima, khaaaaah wee nlikua nasikia yanaliwa, si kule kwetu hatuli haya mawungu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahhh dogo unayajua mabhungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Uchebe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Thank you pon pon wangu...😘😘😘Awww [emoji3590][emoji3590][emoji7][emoji7][emoji7]
Najua cc angu unanipenda mno tena zaidi ya sana, mie pia nakupenda zaidi. Hiyo zawadi sijaona cc eti, hebu weka tena.
Awwww [emoji7][emoji3590][emoji8]Happy birthday shoo! Live Longer dear![emoji2956][emoji2956][emoji8]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590] picha sijaona eti cc.Miss you more mdogo wangu kipenzi[emoji7][emoji7]
ok.mie huko tarehe 5 ktk mapinduzi cupHahahaaha
Nakuzingua bro. Nipo kianga dole huku ndani ndani hata network ni ya shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona picha km 3 ni za maeneo ya karibu na kwangu, naamini wee n lect wa UD. hahahNdio penyewe unapopafanisha
Mwenyewe nimekuta hotel fulani Wachina wame order, ndiyo nikaomba kwa watu wa jikoni nikaone.Haya si mawungu? Tobaaaaah wee mbna had kichefu chefu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena na ile nyingne inayopendwa sana, nkanunulie sambusa. [emoji7][emoji7][emoji7]Thank you pon pon wangu...[emoji8][emoji8][emoji8]
Zawadi baadae kipenzi changu
Yaan mie nimeshtuka, nkajua ndo wee unakula aaah, sikutaka kuamini eti [emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe nimekuta hotel fulani Wachina wame order, ndiyo nikaomba kwa watu wa jikoni nikaone.
Kweli kuna watu hawajui Kula vizuri, yaani unaacha nyama zote za Kuku, Mbuzi, Ng'ombe, Kondoo, Kiti, Bata alafu unakwenda kubugia midudu ya ajabu vile [emoji12][emoji134]
Nakwambia [emoji23][emoji23]Umeweza!![emoji2956][emoji12]
Watu wanakula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman bas kule kwetu yapo mengi kwenye ile miti ambayo inakua na utovu fulan wekundu, bas yanatanda mti mzima, khaaaaah wee nlikua nasikia yanaliwa, si kule kwetu hatuli haya mawungu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaah watu wana moyo kwa kweli, mie hata kuona naogopa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Uchebe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikwambia mimi unachat na walimu wako humu na unawaita 'nyoko'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona picha km 3 ni za maeneo ya karibu na kwangu, naamini wee n lect wa UD. hahah
[emoji23][emoji16][emoji16]
Nimeelewa stendi ya magufuli tuu..
Inaonekana uko deep sana na ndaliism. Ngoja Mbughi ajifue kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]View attachment 2047513
Bado Heaven Sent. Sijui mpaka tufanyeje. Imagine mpaka Mkwepu kaselfika ila Heaven Sent bado [emoji848]