Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
10+ years ninatumia Voda pekee; nina mahaba nayo kupitiliza na wananikosha na speed yao. Japo vifurushi vinaninyoosha ila ndiyo nishaipenda sasa, napambana na hali yangu.
Dada kasema mmetisha sana
Dada kasema mmetisha sana
Voda siyo deal hamia airtel
Hongera nyingi kwa dada





.Bibi alichoka na kulaani sn kusikia hivyo