ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,378
- 118,794
Tumia ERoni tafadhali.Eli79 leo nimekosa ofa yako![]()
Tumia ERoni tafadhali.Eli79 leo nimekosa ofa yako![]()
kwema kbs mkuu.wiki endi inaendaje? Jion tukutane kwa shangazi paleMzee wetu kwema?
Wkend naiona imekaa njema , kwa shangazi kijiwe nilipita juzi nikakuta kimezingirwaa sjajua kipo kweli aukwema kbs mkuu.wiki endi inaendaje? Jion tukutane kwa shangazi pale
Ndio mkuuWakuu habari zenu, siku ya jana nimesumbuliwa na homa kali, kichwa kugonga na mafua makali, je ndio hizi homa zinazosemekana za msimu?![]()
Duh! Aisee ni balaa! Homa kali sana.Ndio mkuu
Binamu wangu wa hasara ndo huyu sasaHahah kwema ankoo Mswati?
Nmefanya nini tena binamu MswatiBinamu wangu wa hasara ndo huyu sasa

hahahaha raia wamevamia sio? Niko likizo nitapita kuwaona mpe hi shangaziWkend naiona imekaa njema , kwa shangazi kijiwe nilipita juzi nikakuta kimezingirwaa sjajua kipo kweli au
Tokea kikao cha ukoo unikandie sitak ata kuona smu zakoNmefanya nini tena binamu Mswati![]()
Toa barakoa tuoneView attachment 2047457
Hii ilikuwa OR Thambo
Kwenye salama zinaweza kufika au zisifikehahahaha raia wamevamia sio? Niko likizo nitapita kuwaona mpe hi shangazi
Hahaha damu nzito kuliko maji binamuTokea kikao cha ukoo unikandie sitak ata kuona smu zako
Naona binamuuHahaha damu nzito kuliko maji binamu
Na ya leo imekupita
.rafiki jana ckupata wa kutoka nae.naomba tutoke mm na ww.vijana wa zamani.leo FURAHI DAY,



