Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

waitin for pics
JamiiForums1747504442.jpg
 
Dar Lux nilipanda mara moja tu nikasema sirudii tena. Siku niliyopanda na kufika Dar saa sita za usiku nikasema mwanzo na mwisho.

Rungwe nao nilipanda siku moja tukafika Mbeya saa nne na mji kama Mbeya saa nne tayari maduka mengi yamefungwa watu wamelala. Nikasema sirudii tena.
Gari ambalo siji kupanda ni Happy Nation.
Hata wakinipa ofa ya bure sipandi tena.


Liliharibika njiani tukapitwa na hadi majinja za sumbawanga,Rungwe zote zilitupita...tukafika dsm saa7.
 
Back
Top Bottom