Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Hapana bana sio Corona, ni homa tu kutokana na hizi mvua zilizonyesha hapa kati na jua lilikuwa kali sana.Sasa ishakupata na bado unang'ang'ania barakoa
Ipumzishe barakoa ,kaa karantini wiki nzima.











