Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3][emoji3][emoji6][emoji4][emoji4]hapana nlipoteza passwod na email mmesahau nkajaribu kuwasiliana na mtu wa jf majibu alonipa sina hamu.. Sijui alikua ma stress that day!![emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]nkafungua ingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lol.
 
Chochea Range lako umfuate huko Kusini. Ulitegemea kweli nimuache wakati usharudi? Hata kule ulikokuwa unaimbisha kwa Kiarabu bado nina wasiwasi nako. Sijui huko nitafanyeje [emoji16]
Ila we mzee dikteta kweli!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Back
Top Bottom