Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,207
- 183,043
Nja kuija bambi! Afu olubuto lunuma mukwano!Ndiwanooo , nkwagalaaaa nyo nyooo
Nja kuija bambi! Afu olubuto lunuma mukwano!Ndiwanooo , nkwagalaaaa nyo nyooo
Napenda natural hair [emoji3059]Usingizi umekataView attachment 2046660
Mwee kumbe na wasukuma mna "nkamu" na "ndaga fijo" [emoji1][emoji1]Wasukuma sisi huwaga ni salamu tu (wabeja nkamu, ndagafijo basi tunamaliza). Hawa sasa mbebishano mzima siku tatu sasa non stop. Jizazi [emoji15]
..View attachment 2047093
Jumaa Mubarak
Nawatakia safari njema [emoji4][emoji4]
[emoji2][emoji2][emoji2]eehRey mpaka maasha Allah imebidi ikutoke.
Hahahaahhahaahahahha
Janguuu wanooo....olutubo lunuma ? Badee opate akadagaraaaNja kuija bambi! Afu olubuto lunuma mukwano!
Bulungi nnyoUsuuze otya ssebbo!!
Inapiga viungo[emoji16]Homa hii mbaya sana .
Ugua pole .
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Babu bana nipe[emoji34]Hiyo mpaka mchuano uje...na ushinde!
Nenda kajionee nyanda za juu kusini jinsi ilivyoning'inia milimani na kulivyo na vyakula vya kumwaga kwa bei nafuu.Sio kwa kupasifia huko!!!![emoji16][emoji16] Ngoja tukajionee wenyewe [emoji846]
Tumebeba...hopefully yanatosha.
Mmepanda bus gani?
Uko kama mie [emoji2][emoji2]Mkoani..Situ ya mbele kabisa ili nione Miti inavyorudi nyuma[emoji16]View attachment 2047139
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Naenda leo.Fanya uende hospitali na usichukulie poa. Upone haraka!
Nipo fresh[emoji4][emoji56]
[emoji173][emoji173]View attachment 2047093
Jumaa Mubarak
Inapiga viungo[emoji16]
Hadi mifupa inauma,,
Usiku vipanadol havifui dafu,,joto linapanda tu.
Mbaya zaidi imenikuta wakati tayari homa nyingine imekolea(kifua)
Basi huo mchanganyiko[emoji119][emoji119]
Mwee pole sana mdogo wangu [emoji853][emoji853]Naenda leo.
Jana ningeenda wangenilaza bila shaka na mimi sitaki kulazwa.
Jangu mpeko dagala dokta!!Janguuu wanooo....olutubo lunuma ? Badee opate akadagaraaa