Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,201
Alsaedy wa hovyo tu..basi ni vile analilazimisha tu kulipeleka lile gari.Juzi kuna sehemu nilikaa nikasema ngoja niangalie ligi za wadogo zangu kar a na Anne. Mara Sauli huyo, nyuma yake K/njaro Express na Golden Deer bampa to bampa ; Golden Deer kamu-overtake mwenzie huyo kayeya. Muda kidogo kaja zake Imani taratibu; zikapita Sauli mbili tena, G.D nyingine na magari mengine mengii. Nimeshajisahau ndiyo namuona swahiba wako Al-Saedy anajikongoja, sijui nini kilimkuta siku hiyo. Tatizo hobby ya picha sina, nakuja kukumbuka baadaye mweeeh
Halina ulakshari wowote mule ndani[emoji1787]
Basi ni vile ukipanda inabidi uungane nao kupambana na mengine.