Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

wakuu kuweni makini picha unayotuma huku ukiwa umeiziba sura usije tena ukaipost kwenye hizi social media

mimi yamenikuta leo nimepost picha hapa nikiwa nimeiziba sura then nikaipost insta ikiwa full

akatokea jamaa wa kutokea sijui ana lengo gani akaitoa ile picha insta akaja kuiqoute chini ya hii niliyopost hapa.....

so guys kuweni makini sana
Na wanaume ndio mna huo upuuzi, sijui mna shida gani
Sasa uzwazwa wa kwenda kuchukua picha ya mtu uje uipost humu ili?
 
Baharia anawaza kuwala wote
Kwa sababu za mgongano wa kimaslai naomba ku declare interest sitaweka self yangu.

Ila nasema kupitia uzi huu hapa JF kuna pin za kufa mtu, za kila aina nyingine utazigua tu hata kwa kupitia mwandiko. Mabaharia tunakwama wapi kutulia sasa, tukamate vitu hapa tupa ndani kisha tuna retire!

Hapa ukitaka combination ya ain yoyote unaipata.
 
Back
Top Bottom