Nipo mkuuUpo??
Nipitie jamaa ntakuja na nyama ya mbuzi kutoka kibamba mnadaniDah mkuu kikiiva nshaandaa tooth picks na pilipili natia timu
Nipe lokeshenen tuu i wili bi zere
😅😅😅😅 hilo tu wala usijaliUjiandae mapema, na uvae upendeze (uwakeeee)[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Au tajiri anaanguka mapepo kanisani.Kweli kabisa, sijawahi sikia tajiri amechumwa...
Nakuaminia mdogo wangu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hilo tu wala usijali
Hiyo kitu saaafi saana mkuu. Usicheze mbali na huu uziNipitie jamaa ntakuja na nyama ya mbuzi kutoka kibamba mnadani
Somo gumu saana kwa mabahariaKwa sababu za mgongano wa kimaslai naomba ku declare interest sitaweka self yangu.
Ila nasema kupitia uzi huu hapa JF kuna pin za kufa mtu, za kila aina nyingine utazigua tu hata kwa kupitia mwandiko. Mabaharia tunakwama wapi kutulia sasa, tukamate vitu hapa tupa ndani kisha tuna retire!
Hapa ukitaka combination ya ain yoyote unaipata.
Kibamba sehemu gani hii?[emoji207][emoji231][emoji238][emoji241] karibuni Kibamba View attachment 1224728
@rubii
Mbona ya FB hii?[emoji207][emoji231][emoji238][emoji241] karibuni Kibamba View attachment 1224728
[emoji23]Kwa sababu za mgongano wa kimaslai naomba ku declare interest sitaweka self yangu.
Ila nasema kupitia uzi huu hapa JF kuna pin za kufa mtu, za kila aina nyingine utazigua tu hata kwa kupitia mwandiko. Mabaharia tunakwama wapi kutulia sasa, tukamate vitu hapa tupa ndani kisha tuna retire!
Hapa ukitaka combination ya ain yoyote unaipata.
Cute.
Duh yanga ina watoto wazuri.Wamenichefua balaaView attachment 1222759