Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,496
- 235,192
Tangu lini umeanza kuninafikia hivi!??Aisee acha basi kuzuga
Tangu lini umeanza kuninafikia hivi!??Aisee acha basi kuzuga
Then you should stop hold your breath[emoji38][emoji38][emoji38]Ujue Leo sitoki humu bila picha zako
[emoji12][emoji12][emoji12]Hard for you to change Marianah.Kweli mchawi siyo lazima apae na ungo usiku!!
Yaani hata wewe ni wa kuniombea mimi nisiache utoto kweli??
Unajinafikia mwenyewe mbona.Tangu lini umeanza kuninafikia hivi!??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unajinafikia mwenyewe mbona.
Mashaallah una rangi nzuri sana mpendwaHivi kwanini muamala hausomi kaka wakati namba unayo?View attachment 1222940
Niwekee Basi picha moja jamaniThen you should stop hold your breath[emoji38][emoji38][emoji38]
Ipi hiyo mama?? Tatizo wewe msiri sana utafikiri usalama wa taifa yaani unanificha hata mimi dada yako??Hivi mipango yangu sijakuambia eeeh???
Tatizo hunikumbushi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio povu ila hua nachukia watu wanaonihukumu kwenye kitu flani kwa kuangalia umri wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona kama povu jamani, comment yangu haikuwa na ubaya ndani yake
Umeridhika sasa?Niwekee Basi picha moja jamani
Coz atapanda vilele vya milima yote aijuayo.Kwanini sasa aje afungue uzi?
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Umeridhika sasa? View attachment 1222993
Hapana sibadiliki kwa ajili ya mwanaume ila nabadilika kwa ajili yangu mwenyewe huwa najisikia amani sana moyoni nikiwa mpole na mnyenyekevu kwa mtu yeyote yule hata kama siyo mume wangu au wazazi wangu...but not for now[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]oh please[emoji12][emoji12][emoji12]Hard for you to change Marianah.
Ila kuna wanaume kibao wanaelewa watu kama wewe hivyo hivyo ulivyo.
So huna aja ya kuhofia tabia zako.
I am proud OF my age*I'm proud with my age... Kama una miaka 40 ni yako nami nitafika huko akipenda Muumba.
I'm young to yo but I've experienced a lot off stuffs than you.. And certainly u can reach them..
Shindano Leo vipi.Hilo neno nililinasa kichwani....
Yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nanyie mmeuwasha Moto...hasa huyu Hannah Hali ya Nani anaweza kumfanya mtu atapike utumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msamaha gani ule[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa yaani mie mwenyewe nilivamia ugomvi tu ila eti ndiyo nikajikuta nina hasira kuliko waliotukanwa hadi kaka wa watu kanung'unika haki inabidi niache huu utani wa kijinga humu JF kuna watu huwa wanamaindi kweli aise yaani mimi nikija kupata mume kauzu asiyependa matani sijui nitaishije nahisi nitakuwa nakula mabanzi kila siku
Nipe siri ya mafanikio kwenye hilo tumbo mamaShindano Leo vipi.View attachment 1223003
Shindano Leo vipi.View attachment 1223003
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani ule unaitwa msamaha wa kiintelijensia, ni watu wachache sana tunaoweza kuomba msamaha wa aina ile.Msamaha gani ule[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]