Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwaheshima na taadhima naomba nichukue likizo ya kudumu kwenye huu uzi.Asante Mungu uzi haujafutwa japo dhoruba ilikuwa kubwa.
Asanteni washiriki wote na lile jeshi pendwa la "wanawake".
Mshana Jr nimechukua kitu kingine cha kuendea sokoni.
View attachment 1224059 kitu cha VL.
Na sasa naanza safari ya kuja kwako tujishindanishe viatu halafu utaleta matokeo.
Ila nilipenda tuu kusema "natembea nikiwa nimekaa. Hakikisha tunapokutana kuna parking nzuri. Nakuja pm.

View attachment 1224060
Wenye wivu hawataamini.
good day.
Nilikuwa ninataka kukupa pongezi ya 20k.
Ila kwa haya ninayoyaona 20k utaiona kama takataka.
 
Naukome kabisa.
Nipo kukusanya hesabu tuu.View attachment 1224151
Aisee. Huu uzi ulifanya mnara wangu ukasoma 5G ila baada ya kufika kwenye haya magari mnara umerudi G kwa unyonge.
Basi hapo kuna jamaa mmoja hafurukuti yaani. Ila ana haki ya kutokufurukuta maana upo vizuri kweli.
Hata mimi ningepata Toto kama wewe ningekula hata mihogo nimnunulia private jet.
Hongera Madame Mwalimu na huko kwenye ualimu unauza sura tuu maana life tayari unalo.
Ngoja nizisake chapaa.
 
Back
Top Bottom