Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naingia kulala sasa.
Jamani yule aliyesema tunatumia tecno asidhani hatuna simu. Ni vile hatupendi showoff za kishamba.
IMG_20191003_230958_260.jpeg
 
Alisumbua sana.akijiona kiranja wa wachomoa betri.
Na kusema sisi ni wabovu.
Yaani mpaka nisahau hiki kituko alichotupostia sio Leo wala kesho[emoji28][emoji28][emoji28]
Tatizo kiuno kimechelewa kutumwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ya juzi ipo Kama ya kisomali hivi waliiona!?[emoji2956]

Hannah dadangu kwa heshima yangu naomba unyamaze please[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom