Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,273
- 108,271
Jamaa aje faster kabla mood haijahamia kwenye mambo mengine...teh teh!!!
Haha'
Ahsante mkuu,
Kapicha kapo humu kitambo sana!!
Watamani kuwa mama?
Sanaa
Amen Amen Amen na iwe hivyooMungu akusaidie one day yes, usifanye papara...utapata Mr Right...
Hivi kumbe inaruhusiwa kuwatafuta crush wetu kama hivii?? Ngoja nikatafute picha ya yule kaka.!!
Mimi Sina nyama.Aggy Gerald "Masogange" fulani hivi...binti wa Mbalizi
Mimi Sina nyama.
Yeye alikuwa Nazo.
Mimi nimejaa mifupa
Kaka mwenyewe kajikaushaa
Halafu nimesahau ID yake
quote kwa post yake atapata notification, akijikausha tunamchana hapa hapa..Kaka mwenyewe kajikaushaa
Halafu nimesahau ID yake
Haha'Ooh yeah niliziona...moja miguu, nyingine viganja halafu nyingine ile ya mwisho ilikuwa motoooo
Kifupi upo vizuri sanaaaa
Anne naomba siri ya huu ubonge, mbona vimbaumbau tunateseka sana hadii gym na hatunenepi, haha'..!!
View attachment 1219302View attachment 1219303View attachment 1219304Majukumu kwanza mengine yanafuata.
Have a good day![]()
quote kwa post yake atapata notification, akijikausha tunamchana hapa hapa..
Namshukuru MUNGU mimi ni wa kike jamanii..!! Hivi ningekuwa wa kiume ningekuwa wapi kwa majaribu haya???Wikiend imeanza.
Mpo viwanja gani nije eti.View attachment 1223576