Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,153
- 829,100
- Thread starter
- #12,381
Nitakosaje hapa kwa mfanoMrasho
CC: Mshana Jr. wengineo
Nitakosaje hapa kwa mfanoMrasho
CC: Mshana Jr. wengineo
ChamaKibamba sehemu gani hii?
Umeshaamka? Mwenzio najiandaa kupika dinner.
Njoo kibamba chama ndo utajua usifanye uchawi hadi kwenye ukweliMbona ya FB hii?


5njana usiku mitaa fulani hivi.
kwa kupitia picha hii, wale wenyeji wa dar bila shaka washajua nilikuwa kiwanja gani cos ni kiwanja maarufu sana.
View attachment 1224773View attachment 1224774
hicho kilichopakatwa+kipakatio😋😋😋👅👅👅Acha kulia lia wewe.
Karibu tule tuendelee na safari.View attachment 1224824
NimekusomaChama
Karibu mkuuNimekusoma
Nilikuwa pande hizo jana mazee....kula sana 🐷 mitaa ya kibwegereKaribu mkuu

Acha kulia lia wewe.
Karibu tule tuendelee na safari.View attachment 1224824
Mtaa wangu next ukija nistue leo ni mnada wa mbuzi na bia Kibamba ChamaNilikuwa pande hizo jana mazee....kula sanamitaa ya kibwegere
Mkuu huyu ndio boss anayeniweka mjini.Aisee. Huu uzi ulifanya mnara wangu ukasoma 5G ila baada ya kufika kwenye haya magari mnara umerudi G kwa unyonge.
Basi hapo kuna jamaa mmoja hafurukuti yaani. Ila ana haki ya kutokufurukuta maana upo vizuri kweli.
Hata mimi ningepata Toto kama wewe ningekula hata mihogo nimnunulia private jet.
Hongera Madame Mwalimu na huko kwenye ualimu unauza sura tuu maana life tayari unalo.
Ngoja nizisake chapaa.
Raba mbona sizioni.zaidi ya mapajaAcha kulia lia wewe.
Karibu tule tuendelee na safari.View attachment 1224824




Poa poa mzeeMtaa wangu next ukija nistue leo ni mnada wa mbuzi na bia Kibamba Chama
Umezoom hatariMimi hapo nimeipenda raba kali...mapaja hata sijayaona![]()


.Na mi ngoja nipate wa kwangu nimechoka kuringishiwaMkuu huyu ndio boss anayeniweka mjini.
Ni mtoto wangu wa kwanza.View attachment 1224850
mekumiss pia siku hizi napita juu juu kama mwanakitengo
Kila la heri mkuu.Na mi ngoja nipate wa kwangu nimechoka kuringishiwa