Hahahahaha nilikuwa kikaoni ndio naona... Afu nina shida naye huyu@4G LTE Njoo mchukue ndugu yako.
Atakuwa amekusikia.Hahahahaha nilikuwa kikaoni ndio naona... Afu nina shida naye huyu
Na imaniAtakuwa amekusikia.
Njoo pm.
Hahahaahhahaha na wewe unakuja pm?Imefungwa[emoji41]
kiongozi ratiba ilishake aisee....nipo town nowKiongozi niko mnadani
Mzee mama una tumiguu tuzuri[emoji41][emoji41][emoji41]Kwangu pamekucha tangu saa 12.[emoji24]View attachment 1223959
Hahahahah aise kumbe ni kijana mdogo sana ..unatakiwa uwe unatoa shikamoo kwa sis wajomba zako..Last nightView attachment 1223961
Aise uko vizuri ila fanya mazoezi ukaze tumbo utapendeza balaa..[emoji3][emoji3][emoji3]Unakichaa[emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1223962
Ukiangalia zinafanana?
View attachment 1223963
Halafu ya jana haikuwa suruali. Nilikuwa inaishia mapajani.
Wewe ni mwalimu?Nimeiona kaka shemeji.
Ila lazima nizungukie miradi yangu maana jumatatu hadi ijumaa nakuwa napambana na chaki. Nikilala na Leo lazima niibiwe.
Mwanangu unatuwakilisha vizuri sana ..sisi wachomaji huu mzuka wetu ..umetishaaMzee Baba alishasemaga kuchoma kisirisiri ni ruksa cha muhimu tuchape kazi na kujenga Nchi.View attachment 1224331
Haha mkuu damu bado kabisa ndo kwanza ishirin na kazaaHahahahah aise kumbe ni kijana mdogo sana ..unatakiwa uwe unatoa shikamoo kwa sis wajomba zako..
Tupia ya kwako basi mama tukuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi iwe hivo tuu[emoji28]Bora ukae hapa uzuge tu
Sio mwalimu. Kwa nini mkuu?Wewe ni mwalimu?
Mazoezi tena[emoji28][emoji28].Aise uko vizuri ila fanya mazoezi ukaze tumbo utapendeza balaa..[emoji3][emoji3][emoji3]