Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

wakuu kuweni makini picha unayotuma huku ukiwa umeiziba sura usije tena ukaipost kwenye hizi social media

mimi yamenikuta leo nimepost picha hapa nikiwa nimeiziba sura then nikaipost insta ikiwa full

akatokea jamaa wa kutokea sijui ana lengo gani akaitoa ile picha insta akaja kuiqoute chini ya hii niliyopost hapa.....

so guys kuweni makini sana
 
Na kuna wanaoweza kuondoa hizo emoji zinazoziba uso.
 
wakuu kuweni makini picha unayotuma huku ukiwa umeiziba sura usije tena ukaipost kwenye hizi social media

mimi yamenikuta leo nimepost picha hapa nikiwa nimeiziba sura then nikaipost insta ikiwa full

akatokea jamaa wa kutokea sijui ana lengo gani akaitoa ile picha insta akaja kuiqoute chini ya hii niliyopost hapa.....

so guys kuweni makini sana
[emoji109][emoji123][emoji123]
 
King Ni King Mbappe aliyetaka kukuchomolea betri nini mkuu? Niliona [emoji16][emoji16][emoji16]
 
huyo huyo mkuu.... alafu jamaa sina ubaya naye wala nini

alafu mbaya zaidi inaonekana najuana naye personaly tena tupo in gud terms sasa sijui kwann kaamua kunifanyia vile

kweli mbaya wako hatoki mbali 😂😂😂😂😂
 
Kama unajihusisha na siasa imekula kwako....
Wenzio tulishajinasibu humu tunapenda ngono kuliko kula na hatuchagui k

Back
Top Bottom