cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,069
[emoji23][emoji23][emoji23] wii tatzo comb haikubalance sasa,Kwani KLF hukuiona?
[emoji23][emoji23][emoji23] wii tatzo comb haikubalance sasa,Kwani KLF hukuiona?
[emoji23][emoji23][emoji23] hakika maths inatuheshimisha wengine "usimuone ivo anasoma comb ngumu huyo" nlikua nasikiliza memoz za watu.Back house one dash[emoji2][emoji2][emoji2]ngumu bwana!ila tulikomaaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeiona af kwa wavulan iko Bihawana na Milambo wasichana iko Iringa girls, mchanganyko iko Dodoma sec. Nahis shule hizo tyuuh km sjakosea.[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mwanasayansi huyoo oo...Mimi mmesema wanangu watosoma wanavoviweza wee...mziki wa Advance Maths..hapana!
Kuna kombi mpya KFC(Kiswahili,French na Chinese)
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukuamua bhana wii, hata CBG? hukuitaka?Waache watoto wakufate...
Arts nayo ipo ipo tu Kama uji wa mtoto 'no sukari no chumvi.
Me science O- level niliingia siku moja siku hiyo hiyo nikatoka [emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa muongeaji somehow sasa nimefika hapo science naona raia hata 20 hawafiki nikaona na haya makelele yangu sitoweza.
Tuishi humo tyuuh.Baada ya kupoteza muda shuleni kuvuruga kichwa changu shule nimeamua sasahivi nibaki na za kujumlisha tu hela.
[emoji23][emoji23][emoji23] uchambuzi wa vitabu, nlkua hata sihusiki mie.Nikikumbuka Olevel zile fimbo za mwalimu kwenye kuchambua sentensi sijui matawi,,dah mara unaandika kivumishi kumbe ni kitenzi kishirikishi sijui
Mara shina,unanyumbua sentensi nazo zinakunyumbua,inakuwa mnyumbuliko.
Niliachana kabisa na habari za kiswahili.
Yeah ndo maan nlsema km.Itakuwa ni kama!! Ila sio shule hapo.
Ahaa hahaaaMliesema anateka watu si hayupo [emoji28]
Kna mpare alikua anatuongozea class, yule mtu maths alizaliwa nayo, tupo 4m 3 anapigisha pind 4, kila test na mitihan hashuki chin ya 95,At some point, huwa naamini kuiweza Maths ni kipaji kama ilivyo kwa vipaji vingine.
The gap is too big kati ya wanaoiweza na wasioiweza. Imagine wa kwanza ana 90+ afu wengi wapo kwenye 30,40
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan bado unateseka tyuuh? PoleeeehDuh yani na wewe umesoma shule? Kweli elimu yetu ni mfu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmmh huyu nishampuuza, kna uzi nmeona anazozaana na mtu hovyo afu hana hata habari, nkajua kuna tatzo sehem, jua kali hili, umeme na maji wa mgao, ni kuvumiliana tyuuh.Fanya hima maana[emoji1787][emoji1787]
Hako kacocastic kakija hapa hakachelewi kusema nyokooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mparee mwenyew huyo. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2018837
Cant feel my face[emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23] cjui why nimecheka.
[emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, ni huku tyuuh, live sasa mbna nipo mpole na mkmya, sjui kuongea hata.Mtoto ana maneno yule [emoji23]
Flaviana matata bhana cc [emoji23][emoji23][emoji23]Nilipita kule jukwaa lao,uzi wa Jack cliff sijui aiseee dogo anarudisha makombora[emoji1787]nilicheka sana.
[emoji7][emoji7][emoji485]... View attachment 2019008
Shule nyingi za serikali sio uzumbeni tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23]Yanataka kufanana na ya Mzumbe kimtindo
Usukuma mwingii🤩[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nimekula ugali kwanza mkuu. Usukuma ni mwingi sana