Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

nimecheka sana..sijawahi acha Maths nikiikwepa imejaa...baasi naishi nayo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
At some point, huwa naamini kuiweza Maths ni kipaji kama ilivyo kwa vipaji vingine.
The gap is too big kati ya wanaoiweza na wasioiweza. Imagine wa kwanza ana 90+ afu wengi wapo kwenye 30,40
 
Breakdown - singida
IMG_20211121_163407_396.jpg
IMG_20211121_163616_751.jpg
IMG_20211121_163535_739.jpg
 
Nikikumbuka Oliver zile fimbo za mwalimu kwenye kuchambua sentensi sijui matawi,,dah mara unaandika kivumishi kumbe ni kitenzi kishirikishi sijui
Mara shina,unanyumbua sentensi nazo zinakunyumbua,inakuwa mnyumbuliko.
Niliachana kabisa na habari za kiswahili.
somo rahisi kuliko yooote ktk uso wa ardhi kiswahili

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom