Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Au tufanye hivi, tuchukue Jahazi, asitushughulishe.

IMG_20191129_124744_8.jpg
 
Mimi nimeamua niwe nakumbuka za kujumlisha na kutoa tu ,nyingine za kutiana tu stress.
[emoji23][emoji23][emoji23] maths bhana, advance tupo class sku ya kwanza teacher anasema "nyie ndio wana hisabati? Hahahah, haya bwana sawa tutakua pamojaa" kilichokua kinafuata, watu wanataman wasome BAM. mweeeeeh[emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwalimu wa math alikuwa akiwaangalia anacheeekaa.
Sasa mwalimu mwenyewe akianza kucheka imagine[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan advance kna vituko, ila tuache utaan PCB, PCM, PGM n kisanga, nusu watu wawe machizi, walimu wanawatisha new comer wa 4m 5 pale mwanzon,[emoji23][emoji23][emoji23]

Unarud home umekonda, akili yote wenge tyuuh, mie week 3 za mwanzon nliumwa had hospital, uwiiiih.
 
Kwani KLF hukuiona?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] maths bhana, advance tupo class sku ya kwanza teacher anasema "nyie ndio wana hisabati? Hahahah, haya bwana sawa tutakua pamojaa" kilichokua kinafuata, watu wanataman wasome BAM. mweeeeeh[emoji23][emoji23]
Back house one dash[emoji2][emoji2][emoji2]ngumu bwana!ila tulikomaaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom