Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

mwanasayansi huyoo oo...Mimi mmesema wanangu watosoma wanavoviweza wee...mziki wa Advance Maths..hapana!
Kuna kombi mpya KFC(Kiswahili,French na Chinese)

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Waache watoto wakufate...

Arts nayo ipo ipo tu Kama uji wa mtoto 'no sukari no chumvi.

Me science O- level niliingia siku moja siku hiyo hiyo nikatoka 🤣🤣
Nilikuwa muongeaji somehow sasa nimefika hapo science naona raia hata 20 hawafiki nikaona na haya makelele yangu sitoweza.
 
Waache watoto wakufate...

Arts nayo ipo ipo tu Kama uji wa mtoto 'no sukari no chumvi.

Me science O- level niliingia siku moja siku hiyo hiyo nikatoka
Nilikuwa muongeaji somehow sasa nimefika hapo science naona raia hata 20 hawafiki nikaona na haya makelele yangu sitoweza.
First born anajua kingereza ,second born hesabu yaani nshajua kila mmoja anachokihitaji!!
Kunifata hapana

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
yaan advance kna vituko, ila tuache utaan PCB, PCM, PGM n kisanga, nusu watu wawe machizi, walimu wanawatisha new comer wa 4m 5 pale mwanzon,

Unarud home umekonda, akili yote wenge tyuuh, mie week 3 za mwanzon nliumwa had hospital, uwiiiih.
Baada ya kupoteza muda shuleni kuvuruga kichwa changu shule nimeamua sasahivi nibaki na za kujumlisha tu hela.
 
mwanasayansi huyoo oo...Mimi mmesema wanangu watosoma wanavoviweza wee...mziki wa Advance Maths..hapana!
Kuna kombi mpya KFC(Kiswahili,French na Chinese)

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nikikumbuka Olevel zile fimbo za mwalimu kwenye kuchambua sentensi sijui matawi,,dah mara unaandika kivumishi kumbe ni kitenzi kishirikishi sijui
Mara shina,unanyumbua sentensi nazo zinakunyumbua,inakuwa mnyumbuliko.
Niliachana kabisa na habari za kiswahili.
 
Back
Top Bottom