Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,343
- 2,132
Pisi kama pisi [emoji3577]
Lucky is the guy having you.... [emoji41]
Pisi kama pisi [emoji3577]
Usalama utoke wapi ndugu yangu 😀😀😀Kidimbwini tena😅 usalama upo lakini?
Hahahahah bustani imependeza maua sio 😂😂😂! Piga redbull baridi kwanza, zingatia kufunga mkanda!Usalama utoke wapi ndugu yangu
Wewe ni Mkongo?
I emailed you!.[emoji173][emoji120][emoji173]View attachment 2019042
SijaonaI emailed you!.
Hebu soma email yangu dada. Na imekufikia, basi ujeuri tu.
[emoji848][emoji848]..bro Una undugu na Adam mchomvu?View attachment 2018837
Cant feel my face[emoji85]
Angalia hata kwa screenshot yako. Hiyo hapo juu.Sijaona
Hivi nilikuruhusu lini uwe unaweka picha zako humu? 😟
Ooooh kumbe etiAngalia hata kwa screenshot yako. Hiyo hapo juu.
Ni yangu. Naomba unijibu.
Hebu tuone wewe sura yako ya kiuhasibu...[emoji848][emoji848]..bro Una undugu na Adam mchomvu?
Una Sura ya kiafande sn Kaka[emoji1787]..sema ni mwana Tu ahahahha
Niliwahi kupost picha humu Depal na financial services wakaniandama sn kwamba ni under 18[emoji1787][emoji1787]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mwana mpotevu
Imejipost 😊Hivi nilikuruhusu lini uwe unaweka picha zako humu? 😟
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwahio mie naoneka kamanda sirro au muroto[emoji848][emoji848]..bro Una undugu na Adam mchomvu?
Una Sura ya kiafande sn Kaka[emoji1787]..sema ni mwana Tu ahahahha
Niliwahi kupost picha humu Depal na financial services wakaniandama sn kwamba ni under 18[emoji1787][emoji1787]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Uone mara ngapi D wakati umeshaniona Tyr🤣Hebu tuone wewe sura yako ya kiuhasibu...
Andaeitini mpo wengi, inabidi tumuombe Melo awajengee jukwaa lenu muwe mnacheza huko
Me au wewe? Na unakuja kimya hata husalimiiMwana mpotevu
Nakumind kinyama.Imejipost 😊
Mwamba Fulani hivi wa mitama km mchomvu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwahio mie naoneka kamanda sirro au muroto
Nataka na LeoUone mara ngapi D wakati umeshaniona Tyr🤣