Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,222
Dry is good eti 😎Chaaaaa! Yaani nitumie kavukavu? Pekupeku?
Dry is good eti 😎Chaaaaa! Yaani nitumie kavukavu? Pekupeku?
MsalimieHaha vieite ya Humphreyujage daslamu uchukue mmoja
Duh yani na wewe umesoma shule? Kweli elimu yetu ni mfu.yaan advance kna vituko, ila tuache utaan PCB, PCM, PGM n kisanga, nusu watu wawe machizi, walimu wanawatisha new comer wa 4m 5 pale mwanzon,
Unarud home umekonda, akili yote wenge tyuuh, mie week 3 za mwanzon nliumwa had hospital, uwiiiih.
Francy 😀😀😀Duh yani na wewe umesoma shule? Kweli elimu yetu ni mfu.
HahahaIs that u always prefer? I second u![]()
Niaje?Francy 😀😀😀
Bwana pole pole ndio alikua anatamba nayo saiv mpaka wanyonge tunayapandaMsalimie
Nalipendaga tu jina la Humphrey..
Nitumie jamani, dar jua kali naogopa.

naskia Kuna joto balaa Mimi mwenyewe mpitaji tu dar sipawezi kwetu kwa Wala mbwa hukoMe sipendi ujue 😀Niaje?
Ishaisha hiyo. Sina mbwembwe nyingi.Me sipendi ujue 😀
Naisubiri kwa hamu dada mkubwaWorry outhivi uko serious inabidi nkutumie picha yangu full aseeh!ila mi ni mzee sana
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app

Chaaa!somo rahisi kuliko yooote ktk uso wa ardhi kiswahili
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app

Hii roundbout tuliwah kula mzinga sitasahau pombe mbaya sanaBeautiful MoroView attachment 2018810
Nasikia huko mko na hasira sana ni kweli?Bwana pole pole ndio alikua anatamba nayo saiv mpaka wanyonge tunayapandanaskia Kuna joto balaa Mimi mwenyewe mpitaji tu dar sipawezi kwetu kwa Wala mbwa huko
Huyo labda nimnyongee mmea 😀Chalii wako amechafukwaa
Mpe wine basi.
Labda inategemea na baadhi ya Koo lakini generally sio kiivo sema ni watu wa kususasusa Sana wanasema mgayasidaNasikia huko mko na hasira sana ni kweli?
Nina rafiki amezaa na mtu wa huko mtoto wake akilia ni anajitupa hovyo hovyo. Rafiki angu anamwambia mi hasira yako ya kihehe siitaki huku anakafinya![]()
Kumbe mko wengi hiviMadam kama madam
Weka sahii![]()


looh!mtanikimbia kwa uzee!jamaniMemories kibao ziko hapa.Beautiful MoroView attachment 2018810
