Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,397
- 191,494
Nina kazi na wewe dogo dimpo😅Hebu tuone wewe sura yako ya kiuhasibu...
Andaeitini mpo wengi, inabidi tumuombe Melo awajengee jukwaa lenu muwe mnacheza huko
Nina kazi na wewe dogo dimpo😅Hebu tuone wewe sura yako ya kiuhasibu...
Andaeitini mpo wengi, inabidi tumuombe Melo awajengee jukwaa lenu muwe mnacheza huko
NextimeNaomba nione mguu [emoji41]
Ni yente bablide [emoji4][emoji4]Aje mamiloh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kna mtu anapenda kusema bablide, iv n maan gan?Ni yente bablide [emoji4][emoji4]
Haha wakati mie Naona anataka kufanana na Idris Sultan mkuu[emoji848][emoji848]..bro Una undugu na Adam mchomvu?
Una Sura ya kiafande sn Kaka[emoji1787]..sema ni mwana Tu ahahahha
Niliwahi kupost picha humu Depal na financial services wakaniandama sn kwamba ni under 18[emoji1787][emoji1787]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ndio shughuli zetu hizo😅Kna mpare alikua anatuongozea class, yule mtu maths alizaliwa nayo, tupo 4m 3 anapigisha pind 4, kila test na mitihan hashuki chin ya 95,
4m 4 akatoka na 1 ya 9, akaenda advance vipaji maalumu huko Tabora PCM, now yko UDSM telecommunications engineering. yule mtu ana akili mweeeh
Makande yana virutubisho vyote muhimu vya kukuza ubongo wa mtoto hivyo haishangazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]Ndio shughuli zetu hizo[emoji28]
Eeh kweli babaMakande yana virutubisho vyote muhimu vya kukuza ubongo wa mtoto hivyo haishangazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2019190View attachment 2019191
Tunakuunganisha kwenye kesi ya ugaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2018837
Cant feel my face[emoji85]
Kumbe za kidunia nazo unaishigi nazo! Nikajua ni mwendo wa injili tu mwanzo mwisho😅
Hahahahahahah ugaidi gani tena jamani😅Tunakuunganisha kwenye kesi ya ugaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakazi wa Mji Mwema utawajua tu 😂 asubuhi asubuhi kwenye maji kama bata
Unaona mwenzako alivyoweka? Naomba uweke naweTunakuunganisha kwenye kesi ya ugaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakula tu mawe hatuna ajira 😀😀Kumbe za kidunia nazo unaishigi nazo! Nikajua ni mwendo wa injili tu mwanzo mwisho😅
Wakazi wa Mji Mwema utawajua tu 😂 asubuhi asubuhi kwenye maji kama bata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio shughuli zetu hizo[emoji28]