Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Halafu juzi niliomba picha za kina Vee na Rotimi za sasahivi kwenye uzi wako fulani hivi.Flaviana matata bhana cc [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu juzi niliomba picha za kina Vee na Rotimi za sasahivi kwenye uzi wako fulani hivi.Flaviana matata bhana cc [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa niaba ya watu wa Songwe nasema tuna furaha sana kupata shemegi mnyamwezi[emoji1787]Nakubali mwaisa pamoja sana [emoji7]
Toto kalii vipiUnaona mwenzako alivyoweka? Naomba uweke nawe
Idris sultan!?..macho yako hayaoni Kama Mimi kabisa[emoji16]Haha wakati mie Naona anataka kufanana na Idris Sultan mkuu
Hahaha wengine wananiambiaga nafanana na jamie foxxIdris sultan!?..macho yako hayaoni Kama Mimi kabisa[emoji16]
Eti mkuu Extrovert umefanana na Idris ?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Labda utupie picha nyingine ktk angle nyingine ndy nitathibitisha vizuri,Ila Kwa picha hii umefanana na mchomvu [emoji41]Hahaha wengine wananiambiaga nafanana na jamie foxx
Mmhh Jamie Foxx hapana labda ututumie picha full tukuone vizuriHahaha wengine wananiambiaga nafanana na jamie foxx
Munataka nitekwe nyara na serikaliMmhh Jamie Foxx hapana labda ututumie picha full tukuone vizuri
uyoga huo mzee babaMtori mtori