Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,397
- 191,502
Eh ile tunachapaga mandez wakiznguagaMwamba Fulani hivi wa mitama km mchomvu🤣🤣
Eh ile tunachapaga mandez wakiznguagaMwamba Fulani hivi wa mitama km mchomvu🤣🤣
Ila Unaonekana mtu peace Tu😁Eh ile tunachapaga mandez wakiznguaga
Ahaha eti nataka na leoNataka na Leo
Nikupigie? Au umelala 🤠Nakumind kinyama.
Chap basi mwendo wa ngiriAhaha eti nataka na leo
[emoji3]yaani,mie nipo nachunguliaga tu hivi[emoji3064]Me au wewe? Na unakuja kimya hata husalimii
Humwogopi Chaliifrancisco ..si kakupiga mkwara hapo juu🤣🤣Nataka na Leo
Wote mna dimpoz. Naona mnataka kuanzisha chama cha dimpoz humu JF.Me au wewe? Na unakuja kimya hata husalimii
Nipigie. Bado sijalala leo sina usingizi hata.Nikupigie? Au umelala 🤠
Tabia za kuchungulia watu umeanza lini[emoji3]yaani,mie nipo nachunguliaga tu hivi[emoji3064]
Vipi shwari?
Ni utani tu mkuu sipo serious 😂Humwogopi Chaliifrancisco ..si kakupiga mkwara hapo juu🤣🤣
EehWote mna dimpoz. Naona mnataka kuanzisha chama cha dimpoz humu JF.
Nini kimenileta humu?
Ya chalii niachie mimi... Unaweka huweki?Humwogopi Chaliifrancisco ..si kakupiga mkwara hapo juu🤣🤣
Nimeanza mwezi huu[emoji3]hata nikichungulia sielewi kitu[emoji3]Tabia za kuchungulia watu umeanza lini
Eeh
Pacha wangu huyo
Umekuja kutusalimia, tukuone hata kidevu mkuu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nimekula ugali kwanza mkuu. Usukuma ni mwingi sanaHio bila ugali mzee unakulaje mboga bila chakula au bado haujaiva?
Yanataka kufanana na ya Mzumbe kimtindo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo madirisha km shule fulan kongwe ya serikali, nlisoma hapo O level, mweeeeh
Nmekumbka mbali sana.
Wazee........ Mdomo mdogo?Hivyo yaan,mwenyewe sijisomi[emoji1419]View attachment 2019069View attachment 2019070View attachment 2019071View attachment 2019075
MkubwaWazee........ Mdomo mdogo?