cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 188,000
Wapi hapa.Tiresome day View attachment 2008105
Wapi hapa.Tiresome day View attachment 2008105
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wananiuzi wanaweka dp za kizee, kmbe vijana fulan wanaoshawishi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi sio wewe niliyekuona pale juu? Mchana?
Aloooh humu ndani kuna vijana watramuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nikiwaza vicoba, mie had mishipa ya nyege inasinyaa nywiiih lol[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kuisingizia pombe. Ulipe madeni ya VICOBa huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kafupi, kakimini.
Sijawahi kuvaa,siku niliyonunua mama alisema gauni gani hilo??
Limekaa kuvaa shughuli za usiku.
Mengele[emoji6]Wewe!!! Hujui kweli?
Ni zile njia za kuingia nyumbani.. Umeelewa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiatu kizuri, [emoji7][emoji7][emoji7]
Rombo moja hiyo.Sasa mi hizo njia mi najua zinaitwa "Mengele"..pembeni unakuta kuna majani ya masale..
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmmhMachana nikatoka job nikaenda geto mara 1, nikanyonga vijiti, ki1 cha kuranduka usiku!!
N.B. Nakula vijiti vidogo vidogo mara 1 kwa mwezi tu kwa malengo maalumView attachment 2008202View attachment 2008203
[emoji38]Hii kitu naipenda ila hua inanisaliti kila nikijaribu kupika zinatoka kaukau[emoji23]
Sasa nimeamua kuacha nitajaribu tena sijui mwaka gani huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise we jamaa kumbe mcute halafu kachalii kadogo tu! Humu watu wengi mna comments za kibabe hadi huwa tunadhani mna miili nyumba na sura ngumu kumbe hata viganjani hamjai mwee!
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] dimplezMe & min me. View attachment 2008253
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Depal my wii njo uone, mzee wa tiaraaeeeii.View attachment 2008269
Jioni mahesabu
D nifanyaje nami niwe na dimples kama hivyo? Nazipenda
Ukiniona wakati napika navyokua makini kufatisha youtube + screenshots kama zote ila ola![emoji38]
Ukipika mara kwa mara unaimprove
Ukipumzika kupika,siku ukianza tena,unaanza upya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninao wa ukoo, wapo mpaka wenye mwanya [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliona kamening'inia nikakaangalia haraka haraka nikakachomoa.
Hata mimi nipo juu ya magoti.
Nimefika nalo nyumbani mama anauliza eti nimemnunulia mtoto[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiniona wakati napika navyokua makini kufatisha youtube + screenshots kama zote ila ola!
Napokosea sielew maana nafata procedure zote, nimesema nikijaribu tena vikabuma ndio itakua mara ya mwisho.
Nitanunua tu za barabarani
Ngoja nianze kibubu challenge nipate nauli twendeTwenzentu Uturuki 😂