cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,062
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sizipend hizo zinalia kwachu kwachu, kna mtu nliwah muambia awapelekee ng'ombe skutak hata kuziona,Nyepesi sana, halafu zinapauka kichizi, kuna mdogo wangu aliniletea Cadeth toka UG zipo good sana, nzito halafu hazipauki... lakini ndio hivyo tunaishi nazo kibingwa..
Zina shida wakat wa kufuaa, nahis fake hizo.