Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,226
- 35,526
Ila wengi wanatumia Kichumi[emoji2][emoji23][emoji23]Yeah hizo njia zinakuwa hivo..ndo maana nikakuambia lugha hazifanani.. ndani ya wilaya moja tu lugha tofauti watu hawaelewani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app