Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Waseme next time nitakubali kunywa ballantinesIts time...happy friday guysView attachment 2008081
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Waseme next time nitakubali kunywa ballantinesIts time...happy friday guysView attachment 2008081
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Be free..utakunywa chochote!Waseme next time nitakubali kunywa ballantines

Mama unaonyeshwa kifua hapo.Mbona soda water iko juu ya meza? Toa ilo konyagi umeficha huko chini![]()
Unatudodorishia 8pack![]()
Uber ya nini na nitakuwa na wewe?Sawa mama
ila uandae uber mapema
🤣🤣🤣 hivi sio wewe niliyekuona pale juu? Mchana?Mama unaonyeshwa kifua hapo.
Wenye vitambi vyetu sio poa.
Ikikolea nitakutelekeza😀Uber ya nini na nitakuwa na wewe?






Hii jeuri utaitoa wapi? Kama sio kunibeba mpaka home 😊Ikikolea nitakutelekeza😀
Nipe no ya Shem basi dear....Hii jeuri utaitoa wapi? Kama sio kunibeba mpaka home 😊
Naomba nione na yako Depal.hivi sio wewe niliyekuona pale juu? Mchana?
Aloooh humu ndani kuna vijana watramuuu.
Nimeacha gambe kwa muda ,nataka niache Kwa wiki 2Mbona soda water iko juu ya meza? Toa ilo konyagi umeficha huko chini 🤣
Unatudodorishia 8pack 😎
😅😅😅 KhaaaaaNipe no ya Shem basi dear....
hayo majukumu ni makubwa sana kwangu🙄
Zimejaa huko juuNaomba nione na yako Depal.
Special task?Nimeacha gambe kwa muda ,nataka niache Kwa wiki 2
Si umuwekee tu aone hiyo ngozi ,kisura ,dimples na lipsZimejaa huko juu
Hapo nitatulia kama dakika 40 ndio mengine yaendelee