Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
NitakuchapaMwee umeicrop mno hadi silioni vizuri
NitakuchapaMwee umeicrop mno hadi silioni vizuri
Daslam inataka kuniuwa kwa joto[emoji16],jua linawaka utadhani limeweka makazi Dar.Siku hizi huku tunaoga maji ya baridi...
Jua linababua sio mchezo
Me & min me. View attachment 2008253
Weka ambayo hujaicrop sana.Nitakuchapa
Hizo dimpo Ni za ukoo?Me & min me. View attachment 2008253
Dogo watu wanajua jibaba wewe.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo kumbe ulidhani nitakuwa jibaba flani hivi sio?..ndo shida ya anonymous ID zetu humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure ila kuwa na hope ni muhimu pia.Mweee!,
Ya j2 hatuyajui.
Watoto wa 95 kuja juu wamejaa, wakiongozwa na dada yao pombe ya kike 😂Aise we jamaa kumbe mcute halafu kachalii kadogo tu! Humu watu wengi mna comments za kibabe hadi huwa tunadhani mna miili nyumba na sura ngumu kumbe hata viganjani hamjai mwee!
Unataka uone nini? Taqo sina na bado natembelea spoku za baskeli 😩Hebu weka full pic bas[emoji16][emoji16]
Mwee!Sure ila kuwa na hope ni muhimu pia.
Hakiyanani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watoto wa 95 kuja juu wamejaa, wakiongozwa na dada yao pombe ya kike [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo kumbe ulidhani nitakuwa jibaba flani hivi sio?..ndo shida ya anonymous ID zetu humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wengine umri wa wanetu kabisa.
Andaeitini ni wengi mno.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂 tumezikuta tuHizo dimpo Ni za ukoo?
Umepumzika tuu mkuu,ukiweza kutoboa mwaka hapo nitakupongeza.
Babu G naomba tu 3 😀View attachment 2008269
Jioni mahesabu