Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kimini hicho yaani linatia aibu.


Nimebadilisha simu yaani nimepoteza namba zote[emoji31]

Ndugu zanguni mwenye namba yangu naomba Unitext ili nipate namba na kusave.
Linatia aibu wakati unanunua hukuona? 😂😂 Langu mimi liko juu ya magoti, hatua mbili limefika mapajani 😩

Ndugu zako wamesikia... Next time u save kwa email.
 
Kajeni ni kandole [emoji2][emoji2]
20211112_215401.jpg
 
Linatia aibu wakati unanunua hukuona? [emoji23][emoji23] Langu mimi liko juu ya magoti, hatua mbili limefika mapajani [emoji30]

Ndugu zako wamesikia... Next time u save kwa email.
Niliona kamening'inia nikakaangalia haraka haraka nikakachomoa.
Hata mimi nipo juu ya magoti.

Nimefika nalo nyumbani mama anauliza eti nimemnunulia mtoto[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom