Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikaoge tena [emoji119][emoji119]
Asante daslam
Screenshot_20211112-201005_Google.jpg
 
Aise we jamaa kumbe mcute halafu kachalii kadogo tu! Humu watu wengi mna comments za kibabe hadi huwa tunadhani mna miili nyumba na sura ngumu kumbe hata viganjani hamjai mwee!
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwahiyo kumbe ulidhani nitakuwa jibaba flani hivi sio?..ndo shida ya anonymous ID zetu humu.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom